Wednesday, March 7, 2018

VIDEO: Yericko Nyerere amjibu Musiba, "Musiba ni mhangaikaji tu"

Leo katika mizunguko yangu ya mjini Daslam, nimekutana uso kwa uso na wanahabari wakanitaka nijibu tuhuma za mtu anayejiita Cyprian Musiba aliyenituhumu kwamba Yericko alipelekwa kusomeshwa na Mh Mbowe Ujerumani na kwamba amesomeshwa nakuja kufanya uhalifu nchini.

Tazama VIDEO Hapa Chini:

 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger