Monday, March 5, 2018

VIDEO: Mbowe Aruhusiwa Kutoka KCMC, Maumivu Makali ya Kichwa Chanzo cha Kulazwa MboweChisseo amesema walimpokea Mbowe jana jioni Machi 4, 2018 akiwa na maumivu makali ya kichwa.
Amesema hali ya Mbowe inaendelea vizuri .

"Jana jioni tulimpokea Mbowe, taarifa zinaonyesha alikuwa na maumivu ya kichwa. Taarifa za kitabibu zinaonyesha ni uchovu," amesema Chisseo.


Amesema madaktari wanaendelea kumhudumia kwa ukaribu .
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa.
Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amsema leo Jumatatu Februari 5, 2018 kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger