Friday, March 9, 2018

Tunda Awapa Ushauri Wanawake Wenzake Siku ya Wanawake Duniani "Acheni Wivu na Majungu"


February 8,2018 ilikuwa ni siku ya wanawake duniani ambapo kila mwanamke alikuwa akisherekea siku hiyo ambapo wengine walipata jumbe nzuri kutoka kwa watu wao wa karibu na kuwatakia siku ya wanawake duniani.

Kupitia instagram account ya video vixen Tunda alitumia siku hiyo kuwasihi wanawake wote duniani kuwa na umoja na ushirikiano na kuacha  wivu ambao unatokea baina ya wanawake ili kuleta maendeleo.
“Wanawake leo inabidi tushirikiane ili tuweke mfano kwa vizazi vijavyo,Sio mawivu tu na majungu bila mwisho😏 #happywomensday
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger