Saturday, March 3, 2018

Taifa Stars Kucheza na Algeria na Dr Congo Mwezi Huu


Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki mwezi huu wa Machi kwenye tarehe za kalenda ya FIFA.

Taifa Stars itakuwa ugenini nchini Algeria Machi 22, 2018 kucheza dhidi ya Algeria kabla ya kucheza na DR Congo Machi 27, 2018 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Tanzania.

Tayari mechi hizo zimethibitishwa na pande zote mbili kuchezwa katika tarehe hizo.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger