Monday, March 5, 2018

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Labaini Rushwa ya Ngono Kuwepo Kazini


Shirkisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) imeandaa kongamano la siku ya wanawake litakalofanyika machi 7 jijini Dar es Salaam, ambapo katika kongamano hilo watajadili nafasi ya mwanamke katika mahala pa kazi kuona changamoto gani wanakutana wanawake wakiwa sehemu za kazi.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger