Friday, March 16, 2018

Shamsa Ford Ahofia Kuachika Kama Zari " Mwenyezi Mungu Niepushie Hili UA na Huu Uzee Nitaenda Wapi"


Msanii wa Filamu Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisa zake za kuogopa kuachanana na mumuwe.

Mrembo huyo ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kumuomba Mwenyezi Mungu amuapushia na mkosi wa kuachwa kwa aina ya kuweka UA jeusi ambalo limekuwa liwaandama baadhi ya wasanii bongo.


“Mwenyezi Mungu niepushie hili UA na huu uzee nitaenda Wapi.linatisha khaaaa,” ameandika Shamsa ambaye ameolewa na mwaka 2016 na mfanyabiashara maarufu Bongo.


Siku chache zilizopita muigizaji huyo alibainisha moja ya sababu zinazovunja mahusiano ya watu watu maarufu ambani ni kuingiza umaarufu wao katika mahusiano.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger