Monday, March 5, 2018

Rais mtaafu JK atoa mifuko 300 ya sementi kwa ujenzi wa Zahanati


Rais Mstaafu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia mbunge wa zamani wa Jimbo la Chalinze na Mkewe Mama Salma Kikwete wametoa mchango wa mifuko 300 ya sementi itakayofanikisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwakonje na nyumba ya walimu.Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger