Sunday, March 11, 2018

Papii Kocha na Babu Seya Waweka Wazi Msimamo wao wa Siasa


Wasanii wa muziki wa Dansi nchini Tanzania, Papii Kocha na Babu Seya wameamua kuweka wazi kuhusu tuhuma za baadhi ya mashabiki wao kwamba tangu watoke jela kwa msamaha wa Rais wamekuwa watu wanaojihusisha na masuala ya kisiasa.

Papii Kocha na Baba yake wamesema kuwa kwa sasa hawapo kabisa na masuala ya kisiasa kwani hao ni wanamuziki na hawajui hata jinsi ya kusimama jukwaani na kuhubiri siasa. Tazama video yao hapa chini wakifunguka.

VIDEO:

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger