Friday, March 16, 2018

Nimetokea Kumpenda Ex Wa Kaka Yangu Sijui Nifanyeje!


Naomba ushauri, nilijiingiza kwenye mapenzi na msichana ambaye aliachwa na kaka yangu yaani walikuwa na mahusiano wakaachana! Kiukweli huyu dada ananipenda sana na ana tabia nzuri, sijui kwanini kaka yangu alimuacha.

Nampenda sana na yeye ananipenda! Tatizo nashindwa kumweleza kaka! Pia nawaza watu wakijua watachukuliaje maana wanajua huyu dada aliwahi kuwa na mahusiano na kaka yangu! Je nifanyaje na binti hataki tuachane?
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger