Sunday, March 4, 2018

Mzee Anaedai Kugundua Madini ya Tanzanite Aomba Kukutana na JPM


Mzee Jumanne Ngoma anaedai kuwa Mgunduzi wa madini ya Tanzanite amesema licha ya kugundua madini hayo miaka 52 iliyopita bado hakuna alichonufaika nacho.

Mzee Ngoma amesema kuwa anatamani kuonana na Rais John Magufuli ili amueleze adha anayokutana nayo kwa sababu anaumia kuona hathaminiwi wala kunufaika na chochote licha ya ugunduzi alioufanya

Tazama Video Hapa Akizungumza:

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger