Friday, March 9, 2018

Mwanamke Anayedaiwa Kuwa Mchumba wa Alikiba Aandika Haya Kuhusu Madai Hayo


Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba kupitia mitandao ya kijamii anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na video vixen kutokea Kenya Tanasha Dona  ambaye aliwahi kufanya naye kazi katika wimbo wa Nagharimia aliomshirikisha Christian Bella.

Kupitia mtandao wa insta story Tanasha amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa hayuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Ali Kiba japokuwa wawili hao waliwahi kufanya kazi pamoja  na hizo ni tetesi tu ambazo zinaendelea katika mitandao ya kijamii.


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger