Sunday, March 11, 2018

Muna Love Afunguka Tatoo Zinavyomkosesha Raha Baada ya Kuokoka,s


Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana kati yake n mwanae, hivyo anatafuta sehemu ya kuzifuta kwani nae ameshaokoka

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger