Saturday, March 10, 2018

Mtangazaji Tbway Anusurika Kifo Kwenye Ajali


Taarifa za  hivi punde kuhusiana na mtangazaji wa EATV Tbway ni kuwa amepata ajali akiwa na gari yake usiku huu maeneo ya Makumbusho Kijitonyama.

Tbway amepata ajali na gari yake kuharibika na kwa mujibu wa DJ Choka ambaye alifanikiwa kufika eneo la tukio, amethibitisha kuwa Tbway ametoka salama na anaendelea vizuri.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger