Sunday, March 18, 2018

Mrembo Tunda Atema Cheche, Skendo ya Kuchoropoa Mimba Nane za Wanaume Tofauti


Baada ya kusambaa kwa skendo ya kudaiwa kuchoropoa mimba takriban nane, muuza nyago maarufu Bongo, Tunda Sabasita amezungumza na Risasi Jumamosi na kuanika ukweli wa mambo.

Mrembo huyo ambaye amekuwa gumzo siku za hivi karibuni kutokana na kudaiwa kuwa na msururu wa wanaume, ameibuliwa skendo hiyo ya kuchoropoa mimba baada ya kusambaa kwa picha yake mpya inayomuonesha kama ni mjamzito.ETI NI NDANI YA MIAKA MICHACHE TU
Madai hayo mazito yaliyoporomoshwa mtandaoni, mbali na kutaja idadi hiyo ya kutisha, yalizidi kumtafuna mrembo huyo kwa kudai amefanya matukio hayo yote ndani ya miaka michache iliyopita
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger