Friday, March 16, 2018

Millen Magese Aonyesha Sura ya Mtoto Wake Mtandaoni kwa Mara ya Kwanza


Kwa mara ya kwanza Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Millen Magese ameonyesha sura ya mtoto wake kwa kutokea kwenye magazine ya nchini Nigeria.

Mrembo huyo ambaye alikuwa anasumbuliwa na tataizo la Endometriosis alijifungua mtoto wake wa kwanza July 13, 2018 lakini hakuonekana hadi leo alipoweka wazi hilo.

Sura ya mtoto huyo aitwaye Prince Kairo ameonekana katika cover la magazine ya Genevieve kutoka Nigeria, Magazine hiyo inatarajiwa kutoka March 16 mwaka huu.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger