Friday, March 16, 2018

Mbowe Aitikia Wito wa Polisi, Apigwa Tena Tarehe


Leo March 16, 2018 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA  Taifa, Freeman Aikael Mbowe, amefika katika kituo kikuu cha Polisi akiwa ameongozana na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu ambae alikuwa mgombea katika jimbo la Kinondoni.

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, iliagiza kukamatwa kwa viongozi saba waandamizi wa CHADEMA, akiwamo Mbowe, Katibu Mkuu Vincent Mashinji na Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger