Friday, March 9, 2018

Majizzo Amwandikia Ujumbe Lulu Michael “Utakuja Kuisoma One Day”


Jana March 8,2018 siku ya wanawake duniani ambapo inawezekana kila mwanamke amepata ujumbe ambao umemfanya ajisikie kuwa ni shupavu na kwamba anahitajika duniani kutokana na maneno aliyoandikiwa au kuambiwa leo

Kupitia mtandao wa instagram mpenzi wake na muigizaji wa bongo movie Elizabeth Michael hakutaka siku hiii ipite hivihivi bila kutaka kumfahamisha Lulu kuwa ni mwanamke wa muhimu kwake hata kama kwa sasa Elizabeth Michael yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili lakini anaamini kuwa ipo siku atausoma ujumbe huo.

“In life all people may probably be necessary. Very useful if everything goes right or wrong. You are very important because you can be strong in all situations. Happy Women’s Day #utakujaisomaOneday”

Akimaanisha kuwa “ katika maisha inawezekana kila mtu akawa ana umuhimu, umuhimu zaidi kama kila kitu kitakwenda sawa au kisiende sawa una umuhimu mkubwa kwasababu unaweza kuwa jasiri kwenye hali zote “ heri ya siku ya wanawake” #Utakuja kuisoma siku moja
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger