Sunday, March 18, 2018

Mahaba Motomoto Wema Sepetu Amchanganya Diamond Platnumz "Kwakuwa Unajua Hizi Picha Ninavyozipenda Wanifanyia Kusudi"


STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu kutupia picha yake na kumtag akisema “I’m inlove with you there’s nothing dat I wouldn’t do, catch a grenade for you, as long as you want me to…” jambo lililomuibua Diamond na kuanika rasmi mahaba yake kwa Wema.
Hayo yamejiri ikiwa ni saa chache baada ya Wema kuposti kipande cha wimbo mpya wa Diamond aliyomshirikisha staa wa Marekani, Omario, ngoma inaitwa AFRICAN BEAUTY na kumfagilia kwa kazi nzuri aliyoifanya.


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger