Sunday, March 18, 2018

Kituo Kikubwa cha Runinga Duniani Chatoa Pongezi kwa Diamond PlatnumzKituo cha runinga cha kimataifa cha ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao was iTunes nchini Burkina Faso.


Diamond Platnumz

Kituo hicho kimetoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika |”Hongera Diamond Platnumz kwa kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi nchini Burkina Faso kwenye mtandao wa iTunes”.


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger