Saturday, March 10, 2018

Esha Buheti Awapa Makavu Watu Wanaosema ni Mnene


MSANII wa filamu Bongo, Esha Buheti ameibuka na kuwataka wanaoujadili ubonge nyanya wake kuacha akijitetea kuwa, hiyo imetokana na kwamba ametoka kuzaa na yupo bize kunyonyesha.

Akibonga machache na Showbiz Xtra, Esha alisema watu wamekuwa wakipenda kuongelea mwili wake huku wengine wakimsihi apungue jambo ambalo halifi kirii kwa sasa hadi atakapofi kasha muda wa kuacha kumnyonyesha motto wake.

“Jamani naomba watu waache kunisema na ubonge wangu kwani bado motto wangu ananyonya hivyo lazima niwe na afya ya kunitosheleza, suala la kupungua nitalifanya akiacha kunyonya miezi michache ijayo na siyo sasa,” . alisema
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger