Sunday, March 18, 2018

Diamond Amtaja Mwanamke Pekee Aliyewahii Kumliza Kwenye Mapenzi


Diamond amesema hayo alivyokua anafanyiwa interview huko Kenya alipoenda Kuzindua album yake ya 'A boy from Tandale'

Kua amethibitisha Zari amemuacha tarehe 14 February 2018 ila mwanamke aliyempenda haswaaa na kufanya alie ni Wema haswa pale alipokua anamfanyia vituko na visa ktk mahusiano yao.

Kuna muda alikua akiwa na wema anahis yuko peponi haswaaa!!japo kwa sasa they are not together anymore zaidi ya urafiki tu na kabla ya kuachana na Wema hakutegemea kama angeweza kuishi bila Wema Sepetu na ilimchukua muda kumsahau Wema so kwa muda wa miaka minne waliyoachana wala hana mapenzi na Wema zaidi ya urafiki na atakua host wa Wasafi Media.


Kwa sasa yuko busy kutangaza album yake mapenzi baadae!

Hayo ndo ya Diamond na Zari,Diamond na Wema (wote wapo single)mliokua mnammendea Zarina the time is now sasa Dogo kashatemwa nendeni mkamlee mama watano!       


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger