Thursday, March 15, 2018

Daimond Amtaja Msanii Huyu Ambaye Anampa TabuMsanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz jana alifanya show kubwa ya uzinduzi wa album yake ya ‘A Boy From Tandale’ nchini Kenya na kukonga nyoyo za mashabiki wake na wadau wa muziki waliohudhuria kwenye uzinduzi huo.

Akiwa jukwaani Diamond aliulizwa na MC, kuwa Kenya kuna wasanii maarufu wengi na wengine wakongwe kama Nameless ambaye ana miaka 20 kwenye muziki unawaonaje?

Diamond akajibu “Katika watu ambao kila nikikutana nao kwenye show na kwanza nina bahati ya kukutana naye kwenye show anayokuwepo Nameless anauwa yaani anaperform kichizi kuzidi hata mimi mtoto wa Tandale”.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger