Friday, March 9, 2018

Cristiano Ronaldo Azindua Nguo Mpya za Ndani


Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, jana Machi 8 amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7).kwa mujibu wa tofui ya mchezaji huyo, imeonyesha kuwa nguo hizo zinauzwa kuanzia kiasi cha Euro 17.95 ambazo ni takriban shilingi 49,778 za kitanzania hadi Euro 26.95 ambazo ni zaidi ya shilingi 74,766.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger