Monday, March 5, 2018

Boko Haram Yazidi Kushamiri, Wawaua Wafanyakazi Wakutoa Misaada


Wafanyakazi watatu wa kutoa misaada wameuawa katika shambulizi lililofanywa na kundi la Boko Haram katika mkoa wa Rann ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Msemaji wa Umoja wa Mataifa Samantha Newport amesema, mfanyakazi wa nne anashukiwa kuuliwa na mwingine kutekwa nyara katika shambulizi hilo.

Wafanyakazi wote ni raia wa Nigeria.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger