Friday, March 9, 2018

Begi Lenye Viganja 54 vya Mikono ya Binadamu Laokotwa


URUSI: Begi lenye viganja 54 vya binadamu waliouawa kikatili lakutwa katika barafu. Hakijafahamika vilikatwa kwa nani na kwasababu ipi

Aidha zimekuwepo dhana kadhaa kuhusu viganja hivyo zinazodai kuwa vimekatwa kwa wezi ikiwa kama adhabu huku wengine wakidai kuwa zimekatwa kutoka kwa miili iliyotolewa viungo kwaajili ya biashara ya figo

Aidha katika eneo la jirani na sehemu vilipobainika viganja hivyo pia vimekutwa vifaa kadhaa vya Hospitali


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger