Thursday, March 15, 2018

Baada ya Kupelekwa Kamati ya Maadili Wambura Kufunguka Kuhusu Mashtaka Yanayomkabili


Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Michael Richard Wambura, leo atatolea ufafanuzi kuhusiana na mshataka yanayomkabili ndani ya Shirikisho hilo.

 Kwa mujibu wa TFF, Wambura anakibiliwa na makosa matatu, la kwanza ni kupokea fedha za TFF. Pili, malipo yasiyo halali na tatu ni kugushi  barua na kushusha hadhi ya TFF.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger