Tuesday, March 6, 2018

Ajali ya Mtoto Dar


Moto umezuka katika soko la Mbagala Rangi Tatu alfajiri ya leo. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea
-
Inadaiwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme na sehemu iliyoathirika zaidi ni ya Wauza Mitumba
-
Mpaka sasa hakuna taarifa ya majehuri wala kifo kutokana na ajali hiyo ya moto
-
Ikumbukwe Februari 6, 2018 Moto ulizuka katika maduka yaliyopo Mbagala Rangi Tatu, Kona ya kuelekea Charambe
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger