Monday, February 19, 2018

VIDEO: 'MBOWE Hajajificha Polisi Njooni Mumkamate'-CHADEMA Wafunguka

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano na Itikadi, John Mrema kimelitaka jeshi la Polisi kuacha kusema linamtafuta Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe kana kwamba amejificha na badala yake kama wana madai nae yeyote waende katika ofisi zake au nyumbani ili wamkamate.

VIDEO:


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger