Thursday, February 22, 2018

Serikali Ya Tanzania Yaishukuru Serikali Ya Japani Kwa Ushirikiano


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao na Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (wa kwanza kulia) kilichofanyika jana  ofisini kwake jijini Dar es Salaam.


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger