Wednesday, February 28, 2018

Rapper Post Malone Apinga Utawala wa Donald Trump, “The biggest lie in the world”


Rapper kutoka mjini New York, Marekani, Austin Richard Post maarufu kama Post Malone ameukosoa uongozi wa serikali ya Rais Donald Trump kwa kuuita ni ua uongo mkubwa duniani.

 Malone amefunguka hayo wakati alipofanya mahojiano na kipindi cha Montreality.
“The biggest lie in the world? It would have to be the fucking U.S. government, actually,” he said. “I’m serious. It’s not what it used to be. It used to be so sick, and about the people, and about freedom, and all that shit. Now it’s just bullshit. It’s a fuckin’ reality show,” amesema rapper huyo ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki.

Utawala wa Rais Trump umekuwa ukikosolewa na mastaa kibao wakati huo huo asilimia kubwa ya watu waliokuwa wakimuunga mkono mwanzoni wakionekana kumtenga.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger