Monday, February 19, 2018

Kampuni ya Acacia Tanzania Yaanza Mchakato wa Kuuzwa Kwa Wachina


Kampuni ya Acacia inayomiliki migodi mitatu ya dhahabu nchini Tanzania, imeanza mazungumzo ya kuingia ubia na Kampuni kutoka China

Kampuni hiyo ambayo imekuwa na mgogoro wa muda mrefu na Serikali ya Tanzania, imepanga kuuza baadhi au shughuli zake zote zilizopo Tanzania

Kampuni ambazo zipo kwenye mazungumzo na Acacia ni Shandong Gold Mining na Zijin Mining Group
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger