Monday, February 19, 2018

Huu ndio wimbo Jason Derulo Kawashirikisha Rayvanny na French Montana

Moja kati ya stori zilizochukua headlines kwa mwaka 2017 ni pamoja na msanii kutokea WCB Rayvanny kutangaza kuwa ameshirikishwa katika ngoma moja na msanii kutokea pande za Marekani Jason Derulo.

Usiku wa February 19 2018 audio ya ngoma hiyo imetoka rasmi ndani ya ngoma hiyo wakiwa wameshirikishwa Rayvanny wa WCB na mkali French Montana, goma yenyewe inaitwa Tip Toe Remix. VIDEO:
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger