Monday, February 26, 2018

Cyprian Musiba Ni Nani na Anatumwa na Nani?

Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari? Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

By StingRay/JF

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger