Monday, December 18, 2017

"Tulimuandaa Dogo Janja Kisaikolojia Kukabiliana na Changamoto za Ndoa" - Madee


Msanii wa muziki ambaye pia ni Rais wa Tip Top Connection, Madee Ali amefunguka kuzungumzia namna walivyomuandaa Dogo Janja ili kupambana na mikiki mikiki ya ndoa. Rapa huyo mwezi mmoja uliopita alifunga ndoa na malkia wa filamu, Irene Uwoya.

Kungwi wake ambaye ni Kassim Mganga Alimwambia Assiihusishe ndoa yake na mabo yake ya muziki na ya mke wake ya movie amwache mke wake afanye kazi yake na yeye afanye muziki wake ili wasijikuta wanaingia kwenye migogoro na kutuyia aibu tulioshiriki kusaini vyeti na kusheherekea ndoa yao.

" Ndoa yao ilikuwa na mabo mengi na siku ikitokea wameachana watu watafikilia vile walivyokuwa wakidhania baada ya ndoa tulimtengeneza kisaikolojia maana tulijua wale ni watu maarufu chochote kwakuwa wanamarafiki wengi wanaweza kushauriana mengi mwisho wa siku chochote kinaweza kutokea" Madee.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger