Tuesday, December 19, 2017

Tbway Kafunguka Kuhusu Kuvuja Kwa Picha yake ya Mahaba na Irene Uwoya

Weekend iliyomalizika kulisambaa mtandaoni picha ya kimahaba ya muigizaji Irene Uwoya akiwa na mtangazaji Tbway kitandani, picha ambayo imechukua headlines na AyoTV iliwasiliana na Tbway ameeleza kuwa picha hiyo ni movie.

VIDEO:

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger