Monday, December 18, 2017

Tanzia: Simba Yapata Pigo Mwanachama Wake Afariki Dunia Leo


Timu ya simba leo imepata msiba mkubwa baada ya mwanachawa wao mkongwe maarufu kama dada Fii Kambi ambaye amefariki  mapema leo asubuhi.

Msemaji wa timu hiyo ametoa taarifa kupitia ukrasa wake wa instagram juu ya msiba huo na kuandi hivi "hakuna mwanachama yoyote anayemzidi dada Fii Kambi kwa kufuatilia kila hatua ya Simba  sikumbuki kama kuna siku niliyokosa cm yake kuulizia habari za klabu ... lakini mungu ametimiza ahadi yake  amefaliki leo ni pigo kwetu wanasimba .....inna lillah wainna ilaihi raajiun"


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger