Wednesday, December 20, 2017

Nuh Mziwanda Karudiana na Mkewe Nawal?

Nuh mziwanda ni mmoja kati ya wasanii ambao wamechukua headlines kwa mwaka huu wa 2017 ambapo ukizungumzia tukio moja ambalo limechukua headlines kutoka kwa Nuh mziwanda kwa mwaka huu wa 2017 hauwezi kuacha kutaja ishu yake na mama wa mtoto wake Nawal kuachana.

Kupitia instagram akaunti inayosadkika kuwa ni ya Nawal imeandika ujumbe ambao unaonyesha kuwa wawili hao wamerudiana baada ya kuandika “Nawashanga sana Binadamu mnavyonisema, mimi ni binadamu pia na nina mapungufu yangu kuachana na Baba Anya na kurudiana nas ni maamuzi yetu”

“ikumbukwe sisi ni wazazi na wanandoa na talqua moja haiachi mke, sasa mwambie shanginigi wenu aache kunisakama tumechoka kulipiwa kodi apambane na ben ten wake kila siku kumfata fata baba Anya wangu #baolaushindi #MamaAnyisback”
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger