Tuesday, December 19, 2017

Faiza Ally Afunguka Kuwa Angetamani Kuzaa Watoto Kumi Lakini Gharama za Maisha Ndio Kikwazo


Msanii wa Filamu Bongo, Faiza Ally amesema katika maisha yake angetamani kuzaa hata watoto 10 lakini haiwekani.
Faiza ametaja sababu ya kutowezekana ni kutokana na gharama za maisha kuwa juu na kueleza watoto wake wawili alionao wanamtosha.

“Sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine kwa sababu wawili wananitosha, I don’t need more because life is too expensive, so sitaki kuleta mtoto aje kupata shida lakini natamani ningezaa hata 10” Faiza ameiambia Bongo5.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger