Wednesday, December 20, 2017

Aliyeachiwa Kwa Msamaha wa Rais Magufuli Auawa Kwa Wizi

Headline kuhusu issue za wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa Rais zimezidi  kuchukua nafasi, ambapo leo tunaye Mwenyekiti wa Mtaa wa Kiwalani, Rajabu Shaha ambaye anaeleza ukweli kuhusu taarifa za kuuawa kwa kijana anayeitwa Said Juma (23) maarufu kama Masekerepa aliachiwa kwa msamaha wa Rais

VIDEO:

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © MCHAMBUZI HURU | Powered by Blogger